Jeremiah 48:9


9 aWekeni chumvi kwa ajili ya Moabu,
kwa kuwa ataangamizwa;
miji yake itakuwa ukiwa,
pasipo kuwa na mtu atakayeishi ndani yake.

Copyright information for SwhKC